Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kwa masharti ya mkataba wa mwaka mmoja kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia 08/02/2024 - 09/02/2024.

Kwa maelezo zaidi,Bofya hapa

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: .
Go to top